sw_tn/2ch/20/16.md

231 B

Muende chini juu yao.

"Nendeni kwenye" au "nendeni mkapigane vita nao".

Njia ya Sisi.

Hili ni bonde jembamba liliko kati kati ya milima kusini mwa Yerusalemu.

Wokovu wa Yahwe.

Mungu atapigana vita na kuwaokoa watu wake.