# Muende chini juu yao. "Nendeni kwenye" au "nendeni mkapigane vita nao". # Njia ya Sisi. Hili ni bonde jembamba liliko kati kati ya milima kusini mwa Yerusalemu. # Wokovu wa Yahwe. Mungu atapigana vita na kuwaokoa watu wake.