sw_tn/2ch/20/16.md

12 lines
231 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Muende chini juu yao.
"Nendeni kwenye" au "nendeni mkapigane vita nao".
# Njia ya Sisi.
Hili ni bonde jembamba liliko kati kati ya milima kusini mwa Yerusalemu.
# Wokovu wa Yahwe.
Mungu atapigana vita na kuwaokoa watu wake.