sw_tn/2ch/18/01.md

8 lines
274 B
Markdown

# Alifanya undugu na Ahabu.
"Alifanya undugu na Ahabu" au alijifanya mwenyewe kuw rafiki wa Ahabu".
# Mimi ni kama wewe, na watu wangu ni kama watu wako.
Yehoshafati anaelezea kuhusu mapatano yake na Ahabu; "Najitoa mwenyewe na wanajeshi wangu kwako ututumie upendavyo."