sw_tn/2ch/18/01.md

274 B

Alifanya undugu na Ahabu.

"Alifanya undugu na Ahabu" au alijifanya mwenyewe kuw rafiki wa Ahabu".

Mimi ni kama wewe, na watu wangu ni kama watu wako.

Yehoshafati anaelezea kuhusu mapatano yake na Ahabu; "Najitoa mwenyewe na wanajeshi wangu kwako ututumie upendavyo."