# Alifanya undugu na Ahabu. "Alifanya undugu na Ahabu" au alijifanya mwenyewe kuw rafiki wa Ahabu". # Mimi ni kama wewe, na watu wangu ni kama watu wako. Yehoshafati anaelezea kuhusu mapatano yake na Ahabu; "Najitoa mwenyewe na wanajeshi wangu kwako ututumie upendavyo."