sw_tn/2ch/15/08.md

372 B

Unabii wa Odedi nabii

Matoleo mengi, likiwemo na UDB, yanasomeka, "Unabii wa Azaria, mwana wa Odedi nabii." Yanasomeka hivyo ili kuleta ujumbe unaokubaliana na 15:1. Watafsiri bila shaka watataka kufanya maana hii hii katika matoleo yao.

Kuviondosha mbali vitu vya kuchukiza

"Aliziondoa sanamu"

Yahwe Mungu wake alikuwa pamoja naye

"Yahwe alikuwa akimsaidia".