# Unabii wa Odedi nabii Matoleo mengi, likiwemo na UDB, yanasomeka, "Unabii wa Azaria, mwana wa Odedi nabii." Yanasomeka hivyo ili kuleta ujumbe unaokubaliana na 15:1. Watafsiri bila shaka watataka kufanya maana hii hii katika matoleo yao. # Kuviondosha mbali vitu vya kuchukiza "Aliziondoa sanamu" # Yahwe Mungu wake alikuwa pamoja naye "Yahwe alikuwa akimsaidia".