sw_tn/2ch/15/08.md

12 lines
372 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Unabii wa Odedi nabii
Matoleo mengi, likiwemo na UDB, yanasomeka, "Unabii wa Azaria, mwana wa Odedi nabii." Yanasomeka hivyo ili kuleta ujumbe unaokubaliana na 15:1. Watafsiri bila shaka watataka kufanya maana hii hii katika matoleo yao.
# Kuviondosha mbali vitu vya kuchukiza
"Aliziondoa sanamu"
# Yahwe Mungu wake alikuwa pamoja naye
"Yahwe alikuwa akimsaidia".