sw_tn/2ch/14/09.md

293 B

Taarifa za jumla:

Zera alikuwa mfalme wa Ethiopia, ambaye alitoka na jeshi la wanajeshi milioni moja (1,000,000), na magari mia tatu (300) kwenda kupigana na mfalme Asa.

Maresha

Maresha ulikuwa mji katika Yuda

Usimuache mtu akushinde

"Enyi watu msiwaruhusu watu wengine kuwashinda"