# Taarifa za jumla: Zera alikuwa mfalme wa Ethiopia, ambaye alitoka na jeshi la wanajeshi milioni moja (1,000,000), na magari mia tatu (300) kwenda kupigana na mfalme Asa. # Maresha Maresha ulikuwa mji katika Yuda # Usimuache mtu akushinde "Enyi watu msiwaruhusu watu wengine kuwashinda"