sw_tn/2ch/13/10.md

12 lines
293 B
Markdown

# Ambao wako katika kazi zao
"Wanaofanya kazi"
# Mkate wa uwepo
"Mkate wa uonyesho" ulikuwa mkate maalum ambao ulitengenezwa kama ishara ya uwepo wa Mungu na ushirika wake na watu wake.
# Pia huweka kinara cha dhahabu pamoaja na taa zake
"Pia hukitunza au kukiangalia kinara cha dhahabu"