# Ambao wako katika kazi zao "Wanaofanya kazi" # Mkate wa uwepo "Mkate wa uonyesho" ulikuwa mkate maalum ambao ulitengenezwa kama ishara ya uwepo wa Mungu na ushirika wake na watu wake. # Pia huweka kinara cha dhahabu pamoaja na taa zake "Pia hukitunza au kukiangalia kinara cha dhahabu"