sw_tn/2ch/13/10.md

293 B

Ambao wako katika kazi zao

"Wanaofanya kazi"

Mkate wa uwepo

"Mkate wa uonyesho" ulikuwa mkate maalum ambao ulitengenezwa kama ishara ya uwepo wa Mungu na ushirika wake na watu wake.

Pia huweka kinara cha dhahabu pamoaja na taa zake

"Pia hukitunza au kukiangalia kinara cha dhahabu"