sw_tn/2ch/12/01.md

8 lines
248 B
Markdown

# Ikawa akwamba
"Ikawa kwamba" ni maneno yanayoashiria tukio muhimu katika historia; yaani wakati ule ule jambo lilipotokea".
# Na Israeli wote pamoja naye
"Israeli na Yuda wote walimfuata katika dhambi yake." Israeli hapa inajumuisha Yuda pia.