# Ikawa akwamba "Ikawa kwamba" ni maneno yanayoashiria tukio muhimu katika historia; yaani wakati ule ule jambo lilipotokea". # Na Israeli wote pamoja naye "Israeli na Yuda wote walimfuata katika dhambi yake." Israeli hapa inajumuisha Yuda pia.