sw_tn/2ch/12/01.md

248 B

Ikawa akwamba

"Ikawa kwamba" ni maneno yanayoashiria tukio muhimu katika historia; yaani wakati ule ule jambo lilipotokea".

Na Israeli wote pamoja naye

"Israeli na Yuda wote walimfuata katika dhambi yake." Israeli hapa inajumuisha Yuda pia.