sw_tn/2ch/07/08.md

20 lines
571 B
Markdown

# Na Israeli wote pamoja naye,
Watu walikuja kutoka Israeli yote.
# Lebo Hamathi
Lebo Hamathi ni jina na mahali
# Kusanyiko la makini
Hili lilikuwa kusanyiko maalumu la kidini.
# Katika siku ya ishini na tatu ya mwezi wa saba.
Siku ya tatu ya mwezi wa saba - Hii ni siku ya mwezi wa saba wa kalenda ya Kiebrania. Siku ya ishirini na tatu ni karibu na katikati ya mwezi wa Oktoba. Katika Kalenda za magharibi.
# Kwa furaha na mioyo ya shangwe.
Neno "furaha" na "shangwe" yana maana ya akitu kimoja. Kwa pamoja yanasistiza nia ya furaha (kwa mioyo ya furaha sana)