# Na Israeli wote pamoja naye, Watu walikuja kutoka Israeli yote. # Lebo Hamathi Lebo Hamathi ni jina na mahali # Kusanyiko la makini Hili lilikuwa kusanyiko maalumu la kidini. # Katika siku ya ishini na tatu ya mwezi wa saba. Siku ya tatu ya mwezi wa saba - Hii ni siku ya mwezi wa saba wa kalenda ya Kiebrania. Siku ya ishirini na tatu ni karibu na katikati ya mwezi wa Oktoba. Katika Kalenda za magharibi. # Kwa furaha na mioyo ya shangwe. Neno "furaha" na "shangwe" yana maana ya akitu kimoja. Kwa pamoja yanasistiza nia ya furaha (kwa mioyo ya furaha sana)