sw_tn/2ch/07/08.md

571 B

Na Israeli wote pamoja naye,

Watu walikuja kutoka Israeli yote.

Lebo Hamathi

Lebo Hamathi ni jina na mahali

Kusanyiko la makini

Hili lilikuwa kusanyiko maalumu la kidini.

Katika siku ya ishini na tatu ya mwezi wa saba.

Siku ya tatu ya mwezi wa saba - Hii ni siku ya mwezi wa saba wa kalenda ya Kiebrania. Siku ya ishirini na tatu ni karibu na katikati ya mwezi wa Oktoba. Katika Kalenda za magharibi.

Kwa furaha na mioyo ya shangwe.

Neno "furaha" na "shangwe" yana maana ya akitu kimoja. Kwa pamoja yanasistiza nia ya furaha (kwa mioyo ya furaha sana)