sw_tn/2ch/06/28.md

12 lines
295 B
Markdown

# Kila mmoja akilijua pigo na huzuni katika moyo wake.
Maana yake yaweza kuwa: "akijua dhambi katika moyo wake" au "akijua moyoni mwake kwamba mapigo na hudhuni ni matokeo ya dhambi zake mwenyewe".
# Akinyosha mikono yake.
Angalia tafsir ya mstari wa 2:12.
# Njia zake zote.
"Alichofanya".