# Kila mmoja akilijua pigo na huzuni katika moyo wake. Maana yake yaweza kuwa: "akijua dhambi katika moyo wake" au "akijua moyoni mwake kwamba mapigo na hudhuni ni matokeo ya dhambi zake mwenyewe". # Akinyosha mikono yake. Angalia tafsir ya mstari wa 2:12. # Njia zake zote. "Alichofanya".