sw_tn/2ch/06/28.md

295 B

Kila mmoja akilijua pigo na huzuni katika moyo wake.

Maana yake yaweza kuwa: "akijua dhambi katika moyo wake" au "akijua moyoni mwake kwamba mapigo na hudhuni ni matokeo ya dhambi zake mwenyewe".

Akinyosha mikono yake.

Angalia tafsir ya mstari wa 2:12.

Njia zake zote.

"Alichofanya".