sw_tn/2ch/06/26.md

469 B

Wakati mbingu zimefungwa na hakuna mvua

Kirai, "mbingu zimefungwa" kina maana kwamba hakuna mvua inayoshuka kutoka mawinguni. "Wakati utakapoacha kuruhusu mvua yoyote kunyesha." (Tazama: tini ..........)

Wakilikili jina lako.

Kwa maneno yao na matendo yao, wanamweshimu Mungu na mamlaka Yake. (Tazama: tini ......)

Kuziacha dhambi zao.

Kuziacha njia zao mbaya".

Utakapowaelekeza kwenye njia njema iwapasayo kutembea

"Kuwaonesha jins ya kuishi kwa haki".