# Wakati mbingu zimefungwa na hakuna mvua Kirai, "mbingu zimefungwa" kina maana kwamba hakuna mvua inayoshuka kutoka mawinguni. "Wakati utakapoacha kuruhusu mvua yoyote kunyesha." (Tazama: tini ..........) # Wakilikili jina lako. Kwa maneno yao na matendo yao, wanamweshimu Mungu na mamlaka Yake. (Tazama: tini ......) # Kuziacha dhambi zao. Kuziacha njia zao mbaya". # Utakapowaelekeza kwenye njia njema iwapasayo kutembea "Kuwaonesha jins ya kuishi kwa haki".