sw_tn/2ch/06/26.md

16 lines
469 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Wakati mbingu zimefungwa na hakuna mvua
Kirai, "mbingu zimefungwa" kina maana kwamba hakuna mvua inayoshuka kutoka mawinguni. "Wakati utakapoacha kuruhusu mvua yoyote kunyesha." (Tazama: tini ..........)
# Wakilikili jina lako.
Kwa maneno yao na matendo yao, wanamweshimu Mungu na mamlaka Yake. (Tazama: tini ......)
# Kuziacha dhambi zao.
Kuziacha njia zao mbaya".
# Utakapowaelekeza kwenye njia njema iwapasayo kutembea
"Kuwaonesha jins ya kuishi kwa haki".