|
# Tunza.
|
|
|
|
Hili ni ombi: "tafadhali fanya"
|
|
|
|
# Hautashindwa kupata mtu mbele yangu wa kukaa juu ya kiti cha enzi cha Israeli.
|
|
|
|
"Siku zote utakuwa na mfalme kutoka miongoni mwa uzao wa Daudi."
|
|
|
|
# Kama ulivyotembea mbele zangu.
|
|
|
|
"Katika namna ambayo Daudi alifanya."
|