# Tunza. Hili ni ombi: "tafadhali fanya" # Hautashindwa kupata mtu mbele yangu wa kukaa juu ya kiti cha enzi cha Israeli. "Siku zote utakuwa na mfalme kutoka miongoni mwa uzao wa Daudi." # Kama ulivyotembea mbele zangu. "Katika namna ambayo Daudi alifanya."