sw_tn/2ch/06/16.md

263 B

Tunza.

Hili ni ombi: "tafadhali fanya"

Hautashindwa kupata mtu mbele yangu wa kukaa juu ya kiti cha enzi cha Israeli.

"Siku zote utakuwa na mfalme kutoka miongoni mwa uzao wa Daudi."

Kama ulivyotembea mbele zangu.

"Katika namna ambayo Daudi alifanya."