|
# Mbele ya kusanyiko lote la Israeli.
|
|
|
|
"Mbele ya watu wa Israeli ambao walikuwa wamekusanyika huko."
|
|
|
|
# Mikono.
|
|
|
|
Kipimo cha zamani.
|
|
|
|
# Akanyosha mikono yake kuzielekea mbingu.
|
|
|
|
Selemani alinyosha mikono yake na kuilekeza juu huku akipiga magoti juu ya jukwaa ili aombe.
|