sw_tn/2ch/06/12.md

270 B

Mbele ya kusanyiko lote la Israeli.

"Mbele ya watu wa Israeli ambao walikuwa wamekusanyika huko."

Mikono.

Kipimo cha zamani.

Akanyosha mikono yake kuzielekea mbingu.

Selemani alinyosha mikono yake na kuilekeza juu huku akipiga magoti juu ya jukwaa ili aombe.