# Mbele ya kusanyiko lote la Israeli. "Mbele ya watu wa Israeli ambao walikuwa wamekusanyika huko." # Mikono. Kipimo cha zamani. # Akanyosha mikono yake kuzielekea mbingu. Selemani alinyosha mikono yake na kuilekeza juu huku akipiga magoti juu ya jukwaa ili aombe.