sw_tn/2ch/05/11.md

378 B

Asafu, Hemani, Yeduthuni.

Watatu hao hao waliongoza ibada wakati Daudi alipolileta sanduku la agano Yerusalem. Baadaye Daudi aliwachagua kuwa wanamziki wa hekalu. (Tazama: tafsiri ya majina).

Wana na ndugu.

"ndugu zao" au "uzao wao".

Matoazi.

Sahani mbili nyembamba za chuma, ambazo hupigwa pamoja ili kufanya mlio mkubwa (Tazama: tafsiri ya maneno yasiyojulikana).