sw_tn/2ch/04/17.md

12 lines
249 B
Markdown

# Sereda.
Hili jina la mji.
# Hivyo ndivyo Selemani alivyovitengeneza vyombo hivi vyote.
Selemani hakutengeneza yeye mwenyewe vile vyombo, bali aliamuru vitengenezwe.
# Uzito wa shaba haukuweza kujulikana.
"Uzito wa shaba ulikuwa mwingi sana."