sw_tn/2ch/04/17.md

249 B

Sereda.

Hili jina la mji.

Hivyo ndivyo Selemani alivyovitengeneza vyombo hivi vyote.

Selemani hakutengeneza yeye mwenyewe vile vyombo, bali aliamuru vitengenezwe.

Uzito wa shaba haukuweza kujulikana.

"Uzito wa shaba ulikuwa mwingi sana."