# Sereda. Hili jina la mji. # Hivyo ndivyo Selemani alivyovitengeneza vyombo hivi vyote. Selemani hakutengeneza yeye mwenyewe vile vyombo, bali aliamuru vitengenezwe. # Uzito wa shaba haukuweza kujulikana. "Uzito wa shaba ulikuwa mwingi sana."