sw_tn/2ch/01/01.md

318 B

Aliimarishawa katka utawala wake

"Selemani alitumia nguvu kubwa juu ya Israeli"

Yahwe

Hili ni jina la Mungu alilojifunulia kwa watu wake katika Agano la Kale. Angalia ukurasa wa tafisiri ya Neno Yahwe kuhusu namna ya kutafsri neno hili

Mungu alikuwa pamoja naye

"Mungu alimshika mkono" au "Mungu alimsaidia