# Aliimarishawa katka utawala wake "Selemani alitumia nguvu kubwa juu ya Israeli" # Yahwe Hili ni jina la Mungu alilojifunulia kwa watu wake katika Agano la Kale. Angalia ukurasa wa tafisiri ya Neno Yahwe kuhusu namna ya kutafsri neno hili # Mungu alikuwa pamoja naye "Mungu alimshika mkono" au "Mungu alimsaidia