sw_tn/2ch/01/01.md

12 lines
318 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Aliimarishawa katka utawala wake
"Selemani alitumia nguvu kubwa juu ya Israeli"
# Yahwe
Hili ni jina la Mungu alilojifunulia kwa watu wake katika Agano la Kale. Angalia ukurasa wa tafisiri ya Neno Yahwe kuhusu namna ya kutafsri neno hili
# Mungu alikuwa pamoja naye
"Mungu alimshika mkono" au "Mungu alimsaidia