sw_tn/1ti/05/05.md

40 lines
891 B
Markdown

# Lakini mjane halisi ameachwa peke yake
"Lakini yule ambaye ni kweli mjane hana familia"
# yeye daima husubiri mbele yake kwa maombi na sala
"husubiri kwa uvumilivu kwa maombi yake na sala"
# maombi na sala
maneno haya mawili maana kimsingi yana maana moja. Paulo anayatumia kwa pamoja ili kusisitiza kiasi gani wajane hawa huomba.
# usiku na mchana
maneno "usiku" na "siku" hutumiwa pamoja kumaanisha "wakati wote."
# Hata hivyo
"Lakini"
# wafu
mfano Huu unamaana kwamba yeye hana uwezo wa kumjibibu Mungu. "ni kama mtu aliekufa, hana la kujibu kwa Mungu"
# hai
Hii ina maana ya maisha ya kimwili.
# yeye daima husubiri kwa maombi na sala
"Anaendelea kufanya maombi na sala"
# amekufa
Paulo anaongea kuhusu watu ambao hawamtafuti Mungu na kumpendeza kama walikua wafu. "ni kama mtu aliekufa, hana la kujibu kwa Mungu"
# bado yu hai
Hii ina maana ya maisha ya kimwili.