# Lakini mjane halisi ameachwa peke yake "Lakini yule ambaye ni kweli mjane hana familia" # yeye daima husubiri mbele yake kwa maombi na sala "husubiri kwa uvumilivu kwa maombi yake na sala" # maombi na sala maneno haya mawili maana kimsingi yana maana moja. Paulo anayatumia kwa pamoja ili kusisitiza kiasi gani wajane hawa huomba. # usiku na mchana maneno "usiku" na "siku" hutumiwa pamoja kumaanisha "wakati wote." # Hata hivyo "Lakini" # wafu mfano Huu unamaana kwamba yeye hana uwezo wa kumjibibu Mungu. "ni kama mtu aliekufa, hana la kujibu kwa Mungu" # hai Hii ina maana ya maisha ya kimwili. # yeye daima husubiri kwa maombi na sala "Anaendelea kufanya maombi na sala" # amekufa Paulo anaongea kuhusu watu ambao hawamtafuti Mungu na kumpendeza kama walikua wafu. "ni kama mtu aliekufa, hana la kujibu kwa Mungu" # bado yu hai Hii ina maana ya maisha ya kimwili.