sw_tn/1ti/01/15.md

20 lines
447 B
Markdown

# Ujumbe huu ni wa kweli
"Kauli hii ni ya kweli"
# unaofaa kukubalika
"unaweza kupokelewa bila mashaka yoyote" au "unatakiwa kukubalika kwa ujasiri wote"
# kwanza nilikuwa nimepata rehema
"kwanza Mungu alinionesha neema" au "Nilipewa neema kutoka kwa Mungu kwanza"
# mfalme mkongwe
"mfalme wa milele" au "mtawala mkuu wa milele"
# iwe heshima na utukufu
"aweze kuheshimiwa na kupewa utukufu" au "watu waweze kumweshimu na kukupa utukufu"