# Ujumbe huu ni wa kweli "Kauli hii ni ya kweli" # unaofaa kukubalika "unaweza kupokelewa bila mashaka yoyote" au "unatakiwa kukubalika kwa ujasiri wote" # kwanza nilikuwa nimepata rehema "kwanza Mungu alinionesha neema" au "Nilipewa neema kutoka kwa Mungu kwanza" # mfalme mkongwe "mfalme wa milele" au "mtawala mkuu wa milele" # iwe heshima na utukufu "aweze kuheshimiwa na kupewa utukufu" au "watu waweze kumweshimu na kukupa utukufu"