sw_tn/1sa/31/09.md

324 B

pande zote katika nchi ya Wafilisti

"maeneo yote katika nchi ya Wafilisti"

kutangaza habari

"kuwaambia watu"

mahekalu yao ya sanamu

majengo ambayo waliabudu sanamu zao

Ashtorethi

huyu ni mungu wa uongo na sanamu

kutundika

"kubandika" (yaweza kuwa kwa kutumia msumari)

Bethi Shani

Hili ni jina la mji.