sw_tn/1sa/31/09.md

24 lines
324 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# pande zote katika nchi ya Wafilisti
"maeneo yote katika nchi ya Wafilisti"
# kutangaza habari
"kuwaambia watu"
# mahekalu yao ya sanamu
majengo ambayo waliabudu sanamu zao
# Ashtorethi
huyu ni mungu wa uongo na sanamu
# kutundika
"kubandika" (yaweza kuwa kwa kutumia msumari)
# Bethi Shani
Hili ni jina la mji.