# pande zote katika nchi ya Wafilisti "maeneo yote katika nchi ya Wafilisti" # kutangaza habari "kuwaambia watu" # mahekalu yao ya sanamu majengo ambayo waliabudu sanamu zao # Ashtorethi huyu ni mungu wa uongo na sanamu # kutundika "kubandika" (yaweza kuwa kwa kutumia msumari) # Bethi Shani Hili ni jina la mji.