sw_tn/1sa/31/04.md

362 B

mbeba silaha

Mbeba silaha alibeba ngao kubwa ya jemadari wake na silaha zingine.

hawa wasiotahiriwa

"watu hawa ambao hawajatahiriwa" au "watu ambao sio Waisraeli"

hakukubali

"hakukubali kufanya kile ambacho Sauli alimwambia afanye"

alichukua upanga wake mwenyewe na kuuangukia

"akajiua mwenyewe kwa upanga wake"

siku iyo hiyo

"siku hiyo moja"