sw_tn/1sa/31/04.md

20 lines
362 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# mbeba silaha
Mbeba silaha alibeba ngao kubwa ya jemadari wake na silaha zingine.
# hawa wasiotahiriwa
"watu hawa ambao hawajatahiriwa" au "watu ambao sio Waisraeli"
# hakukubali
"hakukubali kufanya kile ambacho Sauli alimwambia afanye"
# alichukua upanga wake mwenyewe na kuuangukia
"akajiua mwenyewe kwa upanga wake"
# siku iyo hiyo
"siku hiyo moja"