# mbeba silaha Mbeba silaha alibeba ngao kubwa ya jemadari wake na silaha zingine. # hawa wasiotahiriwa "watu hawa ambao hawajatahiriwa" au "watu ambao sio Waisraeli" # hakukubali "hakukubali kufanya kile ambacho Sauli alimwambia afanye" # alichukua upanga wake mwenyewe na kuuangukia "akajiua mwenyewe kwa upanga wake" # siku iyo hiyo "siku hiyo moja"