sw_tn/1sa/30/23.md

468 B

Ni nani atawasikiliza kuhusu jambo hili?

"Hakuna atakayewasikiliza katika jambo hili"

Kwa maana mgawo ni kwa yeyote aendae

"kwa maana ni kwa ajili ya kila mtu aendaye"

yeyote aendae vitani

mashujaa waliopigana katika vita

watapata tena kilicho sawa

"atahakikisha kuwa kila mtu anapokea kiasi sawa"

yeyote aliyelinda mizigo

watu waliowasaidia mashujaa kutunza na kilinda vitu vyao

mzigo

vitu ambavyo mashujaa waliviacha nyuma walipokwenda vitani